Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwahi kuingia bungeni Dodoma kwa ajili vikao vya Bajeti MEI 6, 2022. Kutoka kushoto ni Costantino Kanyasu wa Geita Mjini, Bonna Kimoli wa Segerea na Dkt Faustine Ndugulile wa Kigamboni. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza jambo na wabunge kwenye viwanja vya Bunge Dodoma. Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge wakiwahi kuingia bungeni Mbunge wa Arumeru Mashariki, Profesa John Pallangyo akiwahi kuingia bungeni huku akiwasalimia wanahabari. Mbunge wa Tabora Kaskazini, Almas Maige Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Ummy Nderiananga. Wabunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee na Esther Bulaya Mbunge wa Mwanga, Joseph Tadayo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini na Mbunge wa Viti Maalumu, Agnes Marwa. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula (kushoto) akipewa hongera ya siku ya kuzaliwa kwake na Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA Mdau,
Comments