MBUNGE SALOME: MSIRUHUSU KAMPUNI ZA SIMU KUWAIBIA WATANZANIA MABANDO+video

 Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA), Salome Makamba ameishauri Serikali kutoruhusu kampuni za mitandao ya simu kuwaibia watanzania bando wanazonunua kwa kisingizio kwamba muda wake umeisha.

Ametoa ushauri huo alipokuwaq akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari bungeni Dodoma Mei 20, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Salome akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑𝐎 𝐌𝐙𝐄𝐍𝐀

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

MVUA ZA EL NINO ZINASABABISHWA NA NINI?.

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU