MWANYIKA: TUSIVIANGALIE VIWANDA VYA SIMENTI KAMA VYA UZALISHAJI MADINI+video


 Mbunge wa Njombe Mjini, Philip Mwanyika ameishauri serikali kuacha kuviangalia viwanda vya  simenti kama vya uzalishaji madini ili kupunguza gharama za uzalishaji.


Ametoa ushauri huo na mwingine alipokuwa akitoa akichangia mjadala wa muswada wa sheria ya fedha bungeni Dodoma juni 28, 2022.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akitoa ushauri wake huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA