WATU MAKINI WAKISILIZA NENO MAKINI LA DKT NCHIMBI TUNDUMA



Katibu Mkuu wa Chama Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akimsikiliza mwananchi aliyejitokeza kumlaki jwakati msafara wake ulipowasili katika Soko la Mazao Tunduma kwa ajili ya kusikiliza kero za wafanyabiashara hao, Aprili 15, 2024. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo.



 Dkt. Nchimbi akizungumza na wakumia pamoja na wafanyabiashara katika soko hilo. Kushoto ni Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla.

Dkt Nchimbi alisikiliza baadhi ya kero zao na kumwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji mdogo wa Tunduma kuzifanyia kazi ikiwemo kuingia nao mikataba ya kupanga mabanda hayo pamoja nakufanya ukarabati soko hilo kwa ubora unaotakiwa.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI