MBUNGE NYOKA: KAMILISHENI JENGO LA MAMA, MTOTO NA UPASUAJI LIJENGWE MKONGO GULIONI

Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Mkoa wa Ruvuma, Mariam Nyoka ameihoji serikali kwamba ina mpango gani wa kukarabati Kituo cha Afya cha Mkongo Gulioni na ujenzi wa Jenhgo ma Mama na Mtoto na upasuaji Songea? Amehoji hilo wakati wa wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 24, 2024.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA