MAMBO YA BUNGENI DODOMA LEO

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Shally Raymond akitoa mchango wake wakati wa mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, bungeni Dodoma Mei 8, 2024. Pamoja na mambo mengine aliiomba Serikali kuwathamini, waalimu, wahadhili kwa kuwawekea mazingira mazuri ya kufanyia kazi pamoja na kuwalipa stshiki zao kwa wakati.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, George Mkuchika akiwa amekaa karibu na kiti cha Waziri Mkuu alipokaimu nafasi hiyo bungeni Dodoma. Atakaimu nafasi hiyo hadi Waziri Mkuu atakaporejea.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete (kulia) akimsikiliza Mbunge wa Kyela, Ali Jumbe Mlagila.
Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathew akijibu maswali ya wabunge.
Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Lugangira akiuliza swali bungeni.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi (kulia) akijadiliana jambo.
Mbunge wa Kalambo, Josephat Kandege akiuliza swali bungeni Dodoma.
Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo  akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo.

Mbunge wa Kasulu Mjini, Profesa Joyce Ndalichako

Spika wa zamani, Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai akijadiliana jambo na mbunge, Hadija Hassan.
Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi.
Mbunge Pauline
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro, Christine Ishengoma akichangia majadala wa Bajeti ya wizara hiyo.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

YANGA BADO POINTI 2 TU ITANGAZE UBINGWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA

DKT NCHIMBI AZURU KABURI LA JOHN KOMBA LITUHI, NYASA

PROF NDAKIDEMI: TULETEENI MIRADI, TUWALIPE NYAMA NA SAMAKI