SHALLY ALONGA MAKUBWA BAJETI WIZARA YA ELIMU


 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Shally Raymond akitoa mchango wake wakati wa mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, bungeni Dodoma Mei 8, 2024.

 Pamoja na mambo mengine aliiomba Serikali kuwathamini, waalimu, wahadhili kwa kuwawekea mazingira mazuri ya kufanyia kazi pamoja na kuwalipa stahiki zao kwa wakati.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

YANGA BADO POINTI 2 TU ITANGAZE UBINGWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DKT NCHIMBI AZURU KABURI LA JOHN KOMBA LITUHI, NYASA

PROF NDAKIDEMI: TULETEENI MIRADI, TUWALIPE NYAMA NA SAMAKI

CHATANDA ANENA MAKUBWA MAADHIMISHO SIKU YA FAMILIA DUNIANI