YANGA KUTANGAZA UBINGWA 'JUMATATU'


 ... ✨ 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗞𝗔𝗜𝗥𝗔𝗛𝗜𝗦𝗜𝗦𝗛𝗜𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔


Baada ya Simba SC kushinda dhidi ya Azam FC, Young Africans SC wanahitaji points (3) pekee badala ya (5) za awali kutwaa Ubingwa wa (30) wa ligi kuu Tanzania bara bila kujali matokeo ya timu zingine.


Simba akishinda mechi zote (5) zilizobaki atafikisha points (71). Azam FC akishinda mechi zake zote (4) atafikisha points (69).


Yanga akishinda dhidi ya Mtibwa mechi inayofuata atafikisha points (71).


Kwa mujibu wa kanuni mpya timu zikilingana points wanaangalia head to head hivyo automatically Yanga anakuwa BINGWA kwa sababu kamfunga Simba home and away (1-5) & (2-1) kwa Aggregate ya (7-2).


I short ni kwamba Yanga SC wakishinda dhidi ya Mtibwa May 13 wanatwaa Ubingwa wa (3) mfululizo wa ligi kuu Tanzania bara wakiwa na viporo vitatu mkononi.


Mechi za kufunga msimu ligi kuu | Mei


𝗬𝗼𝘂𝗻𝗴 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮𝗻𝘀 𝗦𝗖 :


◉ 13 - Mtibwa » Ugenini.

◉ 22 - Dodoma Jiji » Ugenini.

◉ 25 - Tabora United » Nyumbani.

◉ 28 - Prisons » Nyumbani.


𝗔𝘇𝗮𝗺 𝗙𝗼𝗼𝘁𝗯𝗮𝗹𝗹 𝗖𝗹𝘂𝗯 :


◉ 12 - KMC » Ugenini.

◉ 20 - JKT Tanzania » Ugenini.

◉ 25 - Kagera sugar » Nyumbani.

◉ 28 - Geita gold » Ugenini.


𝗦𝗶𝗺𝗯𝗮 𝗦𝗽𝗼𝗿𝘁𝘀 𝗖𝗹𝘂𝗯 :


◉ 12 — Kagera sugar » Ugenini.

◉ 16 — Dodoma Jiji » Ugenini.

◉ 21 — Geita Gold » Nyumbani.

◉ 25 — KMC » Nyumbani.

◉ 28 — JKT Tanzania » Nyumbani.


Premier league table :


1. 🎮 26 ⚽ +45 🅿️ 68 — Yanga.

2. 🎮 26 ⚽ +33 🅿️ 57 — Azam FC.

3. 🎮 25 ⚽ +27 🅿️ 56 — Simba SC..


NB | Inabaki ligi ya kiatu 🙃


Tom Cruz facts 🧠

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

YANGA BADO POINTI 2 TU ITANGAZE UBINGWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DKT NCHIMBI AZURU KABURI LA JOHN KOMBA LITUHI, NYASA

CHATANDA ANENA MAKUBWA MAADHIMISHO SIKU YA FAMILIA DUNIANI

PROF NDAKIDEMI: TULETEENI MIRADI, TUWALIPE NYAMA NA SAMAKI