BALOZI NCHIMBI ATINGA BUNGENI KUSIKILIZA UWASILISHWAJI WA BAJETI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel  Nchimbi na Kamisaa wa Sensa, Spika mstaafu wa Bunge, Anne Makinda wakifurahia jambo walipokuwa wakisikiliza uwasilishwa wa Bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/2025 uliofanywa na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba  bungeni Dodoma Juni 13, 2024.
Dk. Nchimbi akitoa heshima alipokuwa akitambulishwa na Spika Dk. Tulia.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi wa CCM, Ally Happi pamoja na Katibu Mkuu wa UVCCM, Kakate Mwegelo wakati wa uwasilishwaji wa Bajeti hiyo.
Maafisa Wasaidizi Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM,  Tumaini Makene (kulia) na Saleh Mhando wakiwa bungeni kusikiliza Bajeti hiyo.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

RAS KILIMANJARO NA DEREVA WAFARIKI KWA AJALI, MKUU WA MKOA ADHIBITISHA

BALOZI NCHIMBI AONGOZA MAPOKEZI YA KATIBU MKUU, MGOMBEA URAIS WA FRELIMO

MBUNGE MBOGO AWAALIKA BUNGENI VIONGOZI UWT KATAVI

DKT NCHIMBI AUNGURUMA KILIMANJARO

SPIKA TULIA AMLILIA MBUNGE EALA

WAZIRI WA FEDHA AWASILISHA BAJETI YA 2024/2025

KIKWETE AANZISHA MSOGA HALF MARATHON

PROF NDAKIDEMI AITAKA SERIKALI KUPELEKA VIFAA TIBA URU KUSINI

WANANCHI KIBOSHO WAIOMBA SERIKALI KUWAJENGEA VIVUKO VYA KUDUMU