CHUO CHA MIPANGO CHAAHIDI KUISADIA PAKUBWA SHULE YA MBABALA

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo cha Maendeleo ya Mipango Vijijini, Dodoma, Godrick Ngoli kwa niaba ya chuo ameahidi kuwa bega kwa bega kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili Shule ya Sekondari Mbabala iliyoko nje kidogo ya Jiji la Dodoma.

Ahadi hiyo imetolewa na Ngoli alipokuwa akisoma hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Hozen Mayaya alipomwakilisha katika Mahafali ya 21 ya shule hiyo yaliyofanyika Oktoba 17, 2024 shuleni hapo ambapo jumla ya wanafunzi 182 wanatarajia kuhitimu kidato cha nne mwaka huu.


Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo cha Maendeleo ya Mipango Vijijini, Dodoma, Godrick Ngoli akivishwa skafu na Skauti alipowasili katika mahafali hayo.

Ngoli akihutubia katika mahafali hayo.
Baadhi ya wanafunzi wanaotarajia kuhitimu.
Wanafunzi wakisoma risala kwa niaba ya wenzao
Wanafunzi wakiimba wimbo

Baadhi ya wazazi na wageni waalikwa.

Afisa wa Chuo cha Mipango akijitambulisha.
Diwani wa Kata ya Mbabala,  akitoa salamu
Mkuu wa Shule hiyo, Patrick Mayengo akipongezwa kwa kazi nzuri ya kuiongoza shule hiyo.

Mwalimu Mkuu Myengo akiteta jambo na Ngoli.

Afisa Elimu Taaluma wa Sekondari wa  Jiji la Dodoma, akipongezwa na Mkuu wa Shule hiyo, Mayengo
Baadhi ya walimu wakikabidhiwa zawadi kutambua utendaji wa mzuri ambao umeifanya shule hiyo kuwa na ufaulu mzuri.


Baadhi ya wanafunzi wanaotarajia kuhitimu Kidato cha Nne  wakikabidhiwa vyeti.



Mwalimu Mkuu Mayengo akitoa maelezo kwa Ngoli alitembelea jengo la maabala.
Ngoli akipata maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa matundu ya vyoo.
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO YANAYOUA NDOA NA MAHUSIANO

RAIS SAMIA ANA KWA ANA NA ZUHURA YUNUS

JINSI YA KUMSAHAU EX WAKO ALIEKUACHA;

𝗠𝗕𝗢𝗪𝗘 𝗔𝗦𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟮𝟯.

USHAURI WA BURE KWA KILA MFANYAKAZI

TAKUKURU YAPONGEZWA KUWA BEGA KWA BEGA NA MBIO ZA SEPESHA ZINAZOPINGA RUSHWA YA NGONO