KONGAMANO LA KULIOMBEA TAIFA NA VIONGOZI LAPAMBA MOTO KANISA LA KARMELI DODOMA

Kongamano maalumu la viongozi wa Dini kuliombea Taifa na viongozi wake, litakalofanyika kwa siku saba katika viwanja vya Kanisa la Karmeli Assemblies of God Ipagala jijini Dodoma.

Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Dk. Evance Chande akiongoza maombezi hayo ambayo mgeni rasmi alikuwa Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde.

Askofu Benjamin Mwinula wa Kanisa la Harvest Gospel Mission
Mwenyekiti wa CPCT, Evance Mongi.
Mhubiri kutoka Uganda, 
Mbunge wa Jimbo la Dodoma, Anthony Mavunde akikabidhiwa tuzo maalu ya kutambua mchango wake kwa jamii. Tuzo hiyo imetolewa kwa ushirikiano wa Kanisa la Harvest na Karmel.
Mavunde akishiriki katika maombezi hayo.
Baadhi ya waumini wakishiriki katika maombezi hayo.




Mavinde akiwa na viongozi wa dini pamoja na baadhi ya viongozi wa vyama na serikali.
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO YANAYOUA NDOA NA MAHUSIANO

RAIS SAMIA ANA KWA ANA NA ZUHURA YUNUS

JINSI YA KUMSAHAU EX WAKO ALIEKUACHA;

𝗠𝗕𝗢𝗪𝗘 𝗔𝗦𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟮𝟯.

USHAURI WA BURE KWA KILA MFANYAKAZI

JINSI BINTI HUYU MWANAFUNZI ANAVYOIPENDA MITI