RUBANI AFARIKI AKIWA ANGANI


 Rubani wa shirika la ndege la Uturuki amefariki dunia akiwa katikati ya safari

Ndege hiyo aina ya Airbus A350-900 iliyokuwa ikitokea Seattle nchini Marekani kuelekea mji mkuu wa Uturuki Istanbul, ililazimika kutua kwa dharura New York baada ya rubani huyo kufariki.

-

Rubani huyo mwenye umri wa miaka 59, Ilcehin Pehlivan, "alizimia" wakati wa safari hiyo ya ndege.

-

"Baada ya kujaribu kutoa huduma ya kwanza, wafanyakazi wa ndege na rubani mwena waliamua kutua kwa dharura, lakini alifariki kabla ya kutua," 

-

Rubani huyo amefanya kazi na Shirika la Ndege la Uturuki tangu mwaka 2007.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

𝗠𝗕𝗢𝗪𝗘 𝗔𝗦𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟮𝟯.

KIKOSI CHA CBE KIMEWASILI ZENJI KUVAANA NA YANGA

YANGA YAWASILI SALAMA ETHIOPIA

MAYELE AIMWAGIA SIFA LUKUKI YANGA