ZIARA YA DK. NCHIMBI YATINGA MASWA

Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mji wa Maswa wakifuatilia na kushiriki kwa makini mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, katika Viwanja vya Madeco mjini hapo, leo tarehe 8 Oktoba 2024. Balozi Nchimbi, ambaye ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla, pamoja na Katibu wa NEC - Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Hamid Abdalla, yuko katika ziara ya siku tatu katika Mkoa wa Simiyu, aliyoianza tarehe 6 Oktoba, mwaka huu.
Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo akielezea utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020-2025 katika Jimbo hilo.

 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

𝗠𝗕𝗢𝗪𝗘 𝗔𝗦𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟮𝟯.

YANGA YAWASILI SALAMA ETHIOPIA

KIKOSI CHA CBE KIMEWASILI ZENJI KUVAANA NA YANGA

MAYELE AIMWAGIA SIFA LUKUKI YANGA