Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja
na Sadhia Abdallah, wapili kulia Doreen Mshana wa kwanza (kulia), Wilson Tarimo
wapili (kushoto) tarehe 31 Oktoba 2024, mjini Iowa, nchini Marekani.
Vijana
hawa watatu ni manusura wa ajali ya basi la Shule ya Msingi Lucky Vincent
iliyotokea Mei 6, 2017 katika eneo la Rothia wilayani Karatu Mkaoni Arusha. Vijana hao wapo nchini Marekani
wakiendelea na masomo ya elimu ya juu katika Vyuo Vikuu tofauti
Comments