SERIKALI ITAENDELEA KUWAWEZESHA WAJASIRIAMALI WANAWAKE NA VIJANA - WAZIRI KIKWETE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijan, Ajira na Watu wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete amemewahakikishia Wajasiriamali Wanawake na Vijana kuwa Serikali itaendelea kuwawezesha kuwapatia maarifa, masoko, fursa za kijamii na kiuchumi ili waweze kupiga hatua katika kujenga uchumi wa familia na jamii kwa ujumla. 

"Serikali inaamini ukisaidia makundi haya muhimu umesaidia Jamii," amesema Ridhiwani.

Kauli hiyo ameitoa kwenye uzinduzi wa Jukwaa la Soko la Bidhaa zinazozalishwa na wajasiliamali Wazawa Wasichana na Vijana la Panda linaloratibiwa na Taasisi ya Her Initiatives linaloongoza na Bi. Lydia Thomas. 

 Taasisi hii inajulikana kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya duniani kuwanyanyua vijana na Wanawake,ambapo wameshinda zawadi za utambuzi maeneo mengi ikiwemo ile ya Global Citizen inayotolewa Marekani na ile inayotolewa na Mfalme wa Ubelgiji.










 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

KANUNI 10 ZA MAHUSIANO YENYE FURAHA

HAKI 13 ZA MWANAMKE LAZIMA MWANAUME AZIHESHIMU:

MAMBO SABA AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:

NI HESHIMA KUBWA SANA KUIFUNDISHA YANGA - KOCHA MPYA WA YANGA

RAIS DKT.MWINYI: ZANZIBAR KUWA KITUO CHA BIASHARA CHA KIMATAIFA

”RAIS SAMIA AUMIZWA MAUAJI YA KIBIKI”

KOCHA SEAD RAMOVIC AMRITHI GAMONDI YANGA.

ACHENI KUWA CHANZO CHA CHOKOCHOKO NA VURUGU - ASKOFU CHANDE