Mwenyekiti wa Bunge Sports, Tarimba Abbas akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma Desemba 4, 2024, kuhusu timu ya Bunge la Tanzania kushiriki mashindano ya mabunge ya Afrika Mashariki ya michezo mbalimbali yanayotarajia kuanza Desemba 7 na kumalizika Desemba 17, 2024 Mombasa, Kenya. Kulia ni Meneja Bunge Sports, Seif Gulamali na Mjumbe wa Anna Lupembe.
Gulamali akionesha moja ya jezi zitakazotumiwa na wanamichezo wa Bunge Sports katika mashindano hayo ya 14.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments