KITUO KIPYA CHA AFYA CHA CURE SPECIALIZED POLYCLINIC CHAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM.

 


Baadhi ya Waalikwa wakiwa kwenye uzinduzi wa Kituo hicho.

 Dk. Hamisa Iddy Khamis akitoa utangulizi na utambulisho wakati wa uzinduzi wa kituo hicho.
  Mkurugenzi wa Tiba na mtaalam wa utoaji huduma za Lishe Dr. Rehema Mzimbiri akizungumza na baadhi ya Waalikwa waliofika katika uzinduzi wa Kituo hicho.
Mkurugenzi wa Tiba na mtaalam wa utoaji huduma za Lishe Dr. Rehema Mzimbiri  akikata Utepe kwa ishara ya Uzinduzi wa The Cure Specialized Polyclinic, eneo la Upanga Jijini Dar es Salaam, leo Jumamosi, Januari 4, 2025. Kulia ni madaktari wa kituo hicho.

Akizungumza mwishoni mwa hafla hiyo, Dr. Mbobezi wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu wa The Cure Specialized Polyclinic Dk. Juma Magogo Mzimbiri, alisema kituo hicho kina uwezo wa kupokea wagonjwa hadi 50 kwa siku.
Baadhi ya Madaktari wakiwa katuika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA

DK. KIKWETE AZINDUA KITUO CHA AFYA KIZIMKAZI, APONGEZA MAENDELEO ZANZIBAR

BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN