Salamu za Serikali kwenye msiba wa Bw. Ernest Njama Kimaya ziliwasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete (Mb) ulifanyika Kijiji cha Mnyuzi Wilaya ya Korogwe Mkoa Tanga.
Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Ernest Kimaya Mahala pema.
Comments