🇹🇿NBC Premier League
Full time scores
Simba SC Tanzania 2-2 Azam FC
⚽️ 27' Mpanzu ⚽️ 01' Sillah
⚽️ 77' Hamza ⚽️ 88' Zidane
Simba wanatoshana nguvu na Azam na kwa matokeo hayo sasa simba wanasalia ktk nafasi ya pili na point 51 kwa mechi 20 ila wana kiporo na Dodoma Jiji na mechi inayofuata ni Dhidi ya CoastalUnionfc Arusha trh 01/03/2025 wakishinda wanafikisha Alama 54 na baada ya hapo Next ni Dabi ya Kariakoo kwahiyo ubingwa utaamuliwa trh 08/3/3025.
Fadlu yeye mwenyewe kaajilipua kwa kutokufanya mabadiliko mapema, Kuna wachezaji watatu walishaonyesha kuchoka mfano zimbwe lkn kaendelea kumpa muda mrefu.
Elie Mpanzu leo alikuwa na mchezo mzuri sana yeye ndio kafunga bao la kuwarudisha Simba mchezoni what a performance🔥
Comments