HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMAAA....
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMAAA...
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMAAA...
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMAAA...
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMAAA...
MAMBO 8 MWANAMKE HUFANYA KWA MWANAUME ANAYEMPENDA
1. Utii. Mwanamke akikupenda atakutii katika mambo yote ambayo ni halali. Hii ni Ishara kuu. Tofauti na hapo Hakupendi. 2. Kuwasiliana Kila muda atakuwa anawasiliana na wewe. Haiwezi kupita siku bila kuwasiliana nawe. Tofauti na hapo Hakupendi. 3. Huacha Tabia Mbaya Anabadilisha tabia zake mbaya zinazokuudhi. Hawezi kurudia kosa moja kila siku. Tofauti na hapo hakupendi 4. Ana anza kukuiga. Kama unapenda jambo fulani nae ataanza kulipenda. Mf kama unapenda Timu ya Simba naye ataanza kuipenda. Tofauti na hapo Hakupendi. 5. Kuonana Nawe Siku zote atapata njia ya kukutana nawe hata iweje. Ukiona anakupa visingizio na visababu sijui nauli hana, jua hakupendi. 6. Anakuombea. Mwanamke anayekupenda atakuombea ili mambo yako yanyooke. Tofauti na hapo ujue hakupendi, akuombee ili iweje 7. Anakuonea Wivu. Anajisikia wivu akikuona upo au unachat na wanawake wengine. Hawezi kabisa na lazima akwambie. Tofauti na hapo Hakupendi. 8. Kukupa Zawadi. Sio kwamba Wanawake hawana pe...
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMAAA...
SALMA KIKWETE, WAWATA WAMPAISHA PROF. NDAKIDEMI
Mke wa Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, Salma Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Mchinga, akielezea mbele ya Watawa kutoka Kilimanjaro kuhusu uchapakazi wa Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi walipotembelea Bunge jijini Dodoma kwa mwaliko wao huyo. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 0754264203
Comments