Jana, Mkuu wa Wilaya ya Musoma (DC) Mhe Juma Chikoka alishuhudia RUWASA ikimkabidhi Mkandarasi mradi wa thamani ya Tsh 870,000,000 (Tsh 870m) wa kusambaza maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria kwenda vijiji vya KABONI na SEKA vya Kata ya Ny amrandirira.
CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa ina ujumbe muhimu kutoka kwa baadhi ya walengwa wa mradi huu - tafadhali wasikilize!
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Comments