Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Halmashauri ya Mji Handeni ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani
Tanga tarehe 25 Februari,
2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Jengo la Halmashauri ya Mji Handeni ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi Mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.
Comments