Mkutano baina ya serikali na wadau wa maendeleo wa kujadili utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya 2025 na mikakati ya jinsi ya kutekeleza Dira ya Maendeleo ya 2050 umefanyika jijini Dodoma Februari 21, 2025.
Picha ya juu.Kamishna wa Mipango na Maendeleo ya Sekta Zanzibar, Mohammed Masoud Salim akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Mwenza wa mkutano huo, Suzan Ngongi akizungumza katika mkutano huo.
Baadhi ya wadau wa maendeleo wakiwa katika mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Kambarage Makao Makuu ya Wizara ya Fedha jijini Dodoma.Baadhi ya viongozi wa serikali wakifuatilia mjadala huo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Comments