Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Bw. Erasmus Kipesha akizingumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa mamlaka hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita Februari 25, 2025, katika ofisi za Idara ya Habari - MAELEZO, Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari - MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa neno la utangulizi wakati wa kumkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Kipesha kuzungumza na vyombo vya habari.Waandishi wa Habari wakiwa katika mkutano huo katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments