WASIRA AKUTANA NA SUMAYE

 
Makamu Mwenyekiti  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira  akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM mstaafu, kumtembelea ofisini kwake, leo Jumanne tarehe 25 Februari 2025.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 8 MWANAMKE HUFANYA KWA MWANAUME ANAYEMPENDA

SALMA KIKWETE, WAWATA WAMPAISHA PROF. NDAKIDEMI