Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo akielezea mafanikio ya Tume ya Madini kwa kipindi cha miaka minne YA Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan leo Machi 4, 2025 kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments