AZIZ KI NDIYE MCHEZSJI AGHALI UKANDA WA CECAFA


 MICHEZO:YANGA SC 🇹🇿Kiungo mshambuliaji, Stephen Ki Aziz 🇧🇫 ndiye mwanasoka anayelipwa pesa nyingi zaidi katika ukanda wa CECAFA, akipokea $240,000 kila mwaka hii ni sawa na Milioni 623,704,190.40


Kwa mujibu wa @almachiuskanyasi Yanga SC🇹🇿 pia inampa nyumba kamili, tikiti mbili za ndege za kiwango cha biashara kwa mwaka, na pia kuna bonas ambazo anapata ikiwa atafunga na kutoa assists

Kumbuka mpaka sasa amehusika kwenye mabao 12 akiwa amefunga mbao 7 na kutoa assists 5

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

RAIS TRUMP ARARUANA NA RAIS WA UKRAINE

SERIKALI YALIKUBALI OMBI LA DIAMOND

ARAJIGA AULA KOMBE LA DUNIA

MAMBO 8 MWANAMKE HUFANYA KWA MWANAUME ANAYEMPENDA