Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira akimsindikiza Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake baada ya kukutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam leo Machi 6, 2025.
Katika mazungumzo viongozi hao waliahidi kuendeleza ushirikiano wa kihistoria kati Chama Cha Mapinduzi na Chama cha Kikomunisti cha Cuba, pamoja na Tanzania na Cuba.
Comments