Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Mhe. Balozi, Dkt. Mpoki Ulisubisiya, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa Taasisi hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita tarehe 5 Machi, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari - MAELEZO, Dodoma.Waandishi wa habari wakiwa akatika mkutano huo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments