Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania (UWT), Mary Chatanda (katikati) akisikiliza kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tganzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 bungeni jijini Dodoma Juni 27, 2025. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule.
Chatanda akitambulishwa na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.

Wakiwa wamesismama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments