Mbunge wa Njombe Vijijini, Deodatus Mwanyika (kulia) akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile (kushoto), Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa na Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika akizungumza wakati wa kuliaga Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokaribishwa kufanyaa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson bungeni Dodoma Juni 26, 2025.
Mwanyika ametumia pia fursa hiyo kuwashukuru wapiga kura wake wa Jimbo Njombe Mjini kwa kumuamini kutumikia nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano na kuwaomba tena wamuamini awatumikie katika kipindi kingine kijacho.
Mwanyika akigonga meza bungeni ikiwa ni ishara ya kukubaliana na hoja. Kulia ni Mbunge wa Busanda, Tumaini Magessa.
Mwanyika akifanyiwa mahojiano na Mwandishi wa Azam TV, Ahmed Ali kuhusu mswada wa fedha uliowasilishwa bungeni wiki hii.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 0754264203
Comments