MWANYIKA AAGA BUNGE, AWAKUMBUKA WANA NJOMBE


 Mwenyekiti wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika akizungumza wakati wa kuliaga Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokaribishwa kufanyaa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson bungeni Dodoma Juni 26, 2025. Mwanyika pia alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo.

Mwanyika ametumia pia fursa hiyo kuwashukuru wapiga kura wake wa Jimbo Njombe Mjini kwa kumuamini kutumikia nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano na kuwaomba tena wamuamini awatumikie katika kipindi kingine kijacho.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

NMB YATOA MSAADA WA SH. MILI. 125 KUBORESHA MIUNDOMBINI KATIKA SHULE 15 ARUSHA

ASHUKURU MAFUNZO YA KILIMO JKT YAMEMLIPIA ADA CHUO KIKUU