Mwanaume Unatakiwa umzidi mpenzi/mwenza wako kwenye vitu vitatu
1. Umri
2. Maarifa /akili / Elimu au uelewa wa mambo
3. Pesa/ kipato/utafutaji
Na mwanamke anatakiwa umzidi mumeo kwenye vitu vitano
1. Uvumilivu
2. Usafi
3. Upendo
4. Mipango
5. Sala/maombi /Imani
Na mnatakiwa muwe sawa kwenye vitu viwili
1. Uvumilivu
2. Heshima & Kusameheana.
3. Akili na busara
Credit to the Rightful Owner
Comments