. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wageni waalikwa waliohudhuria
Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Umoja wa
Maimamu Tanzania (UMATA) katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
tarehe 24 Agosti, 2025.
Matukio mbalimbali kwenye
Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Umoja wa
Maimamu Tanzania (UMATA) katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
tarehe 24 Agosti, 2025.
Comments