HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, ...
VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️
Wanaume wengi hawasemi, lakini mioyoni mwao wanathamini mambo haya zaidi kuliko urembo au umbo. Soma kwa makini👇👇 1️⃣ Utulivu wa kiakili. Mwanaume anapenda mwanamke ambaye hana drama kila siku. Yule anayejua kutulia, kufikiri kabla ya kuongea, na kupunguza presha isiyo ya lazima. 2️⃣ Kuelewa na kuvumilia. Si kila siku mwanaume atakuwa sawa. Anapenda mwanamke anayemwelewa hata kimya chake, bila kulazimisha maneno. 3️⃣ Kumheshimu hadharani na faraghani. Heshima kwake ni kila kitu. Anapenda mwanamke anayempa heshima hata wakati wa hasira — hiyo humfanya ajisikie mwanaume kamili. 4️⃣ Uaminifu. Hata ukimpa upendo wa dunia nzima, bila uaminifu haoni thamani. Mwanaume anapenda kujua kuwa hata akiwa mbali, bado yuko salama moyoni mwako. 5️⃣ Moyo wa kumtia moyo. Wanaume wengi huficha maumivu yao. Wanapenda mwanamke anayewaambia, “Utaweza, nipo upande wako.” — maneno hayo yanajenga kuliko unavyofikiri. 💪 6️⃣ Mwanamke mwenye tabasamu la dhati. Tabasamu la kweli humtuliza mwan...
RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA
Rais Joyce Banda aliapishwa kuwa Rais wa 4 wa Malawi tarehe 7 Aprili, 2012 baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika akiwa madarakani. Awali Rais Banda alikuwa Makamu wa Rais na kwa mujibu wa Katiba ya Malawi alitakiwa kuwa Rais baada ya kifo cha Rais aliyeko madarakani. Akiwa Makamu wa Rais, Joyce Banda alitengwa na Rais wake katika maamuzi makubwa na muhimu ya uendeshaji wa nchi. Inasemekana kutengwa kwake kulitokana pamoja na mambo mengine, kutofautiana na Rais Mutharika juu ya azma ya Rais Mutharika ya kumuandaa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa Peter Mutharika kugombea urais wa Malawi baada ya yeye kumaliza muda wake. Kifo cha Rais Bingu wa Mutharika kilitibua mkakati huo wa kupokezana urais kifamilia. Waziri Peter Mutharika na genge lake wakiwemo maafisa waandamizi wa Serikali, na watu wao ndani ya Usalama wa Taifa na Polisi wakaanza mchakato wa kuzuia Makamu wa Rais Joyce Banda asiwe Rais. Mpango huo ulitibuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Majeshi wa Malawi, Jenerali He...
MJUE VIZURI KOCHA MPYA WA YANGA PEDRO
AGE - 49 years LICENCE - UEFA Pro Licence TEAMS - Amora , Cova da Piedade , Sporting CP , Primiero de Agosto , Angola National Team & Young Africans ✍️🏽Falsafa ya Msingi ya Uchezaji Ni kocha anayeamini katika mpira wa akili( Intelligent Football ) usiotegemea nguvu au kasi tu bali ufahamu wa nafasi, mpangilio na uamuzi wa haraka wa matukio. 🎨 Mambo Makuu ya Falsafa yake 1- Balanced Tactical Football Kushambulia kwa mpangilio mzuri, kujenga mashambulizi kupitia pasi fupi na kutumia wachezaji wa pembeni kufanya quick transition. 2- Possession with Purpose Hapendi timu yake imiliki kwa takwimu tu bali kwa kutengeneza nafasi za maana na kimkakati. 3- Quick Transitions Timu zake zina uwezo mkubwa wa kugeuka kutoka kulinda hadi kushambulia ndani ya sekunde chache. 4- Structured Defense Timu iikiwa inazuia wachezaji wake wote wanashiriki kujilinda hata washambuliaji wana jukumu la kurudi nyuma pale wakati hawana mpira 5- Strategic Patience Hataki timu yake icheze kwa vurugu ili k...
CCM YAPULIZA KIPYENGA WANAOWANIA USPIKA, NAIBU SPIKA
Hii ni Kampeni ndani ya Vitongoji vyote 374 vya Jimbo la Musoma Vijijini kuwafuata wapiga kura majumbani, kwenye vituo vya usafiri, senta za biashara, mialoni, vijiwe vya bodaboda,magenge ya mama lishe, n.k. Lengo la kuwafuata huko waliko ni kuendelea kueleza utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya kila kijiji na vitongoji vyake kwa miaka mitano iliyopita na ile mitano ijayo (Ilani za Uchaguzi za CCM za 2020-2025 & 2025-2030), na Dira ya Maendeleo ya Taifa (2025 -2050) Vilevile, Timu yetu ya Kampeni ikiwajumuisha Viongozi kwenye Vitongoji hivyo 374, itahamasisha WAPIGA KURA wajitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura (tarehe 29 Okt 2025) na kuwachagua wagombea wote wa CCM wakiongozwa na Mgombea Urais Dkt Samia Suluhu Hassan, Mgombea Ubunge wa Jimbo letu na Wagombea Udiwani 21 wa kata zetu zote. Kazi na Utu, Tunasonga Mbele. Timu ya Kampeni CCM - Jimbo la Musoma Vijijini. Jumapili Okt 19, 2025.
JESHI LA POLISI LATEKELEZA AGIZO LA RAIS SAMIA, LAONDOA KIZUIZI CHA KUTOTOKA NJE BAADA YA SAA 12 JIONI
Jeshi la Polisi la Nchini limeondoa kizuizi kilichokuwa kimewazuia wakazi wa Dar es Salaam kushiriki shughuli za nje baada ya saa kumi na mbili jioni, kufuatia maagizo mapya kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Amiri Jeshi Mkuu. Agizo hilo, ambalo lilitolewa kwa mara ya kwanza Oktoba 29, 2025, na Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Camillus Wambura, liliwataka wakazi kubaki ndani baada ya saa kumi na mbili jioni kama hatua ya usalama. Hatua hiyo ilikuja kutokana na matukio ya machafuko ya kisiasa na vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi mkuu.





Comments