Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. ๐๐๐ต๐ฎ-๐ฟ๐ผ๐๐ฒ ๐ ๐ถ๐ด๐ถ๐ฟ๐ผ anatarajiwa kuanza ziara ya kukutana na kuzungumza na Mabalozi wa Mashina katika kukijenga chama na kuimarisha Uhai wa Jumuiya zake.
Balozi Dkt. Migiro ataanza ziara hiyo siku ya tarehe 07 Januari 2026 kwa kukutana na Mabalozi wa Mashina wa Wilaya ya Temeke na Kigamboni katika ukumbi wa TPA Jijini Dar es salaam.
Kauli mbiu katika ziara hii ni ๐๐๐๐ฃ๐ ๐๐๐ ๐ค ๐๐๐ฃ๐๐ ๐ช๐๐ฉ๐.
#CCMImara
#KaziNaUtuTunasongaMbele

Comments