Mapacha watatu wa familia ya Richard Mwaikenda wamebarikiwa kwa kupata Kipaimara katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kivule, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam Desemba 14, 2025.Watoto hao ni Catherine, Caren na Loveness.
Zaidi ya watoto 40 walipata ubarikio huo ulioongozwa na Mchungaji Frank Kimambo ambaye pia Mkuu wa Jimbo la Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Jimbo la Kati.
Baada ya kufanikisha ibada hiyo ya ubarikio, Mchungaji Kimambo aliendesha sala fupi ya kubariki kiwanja kilichoteuliwa kanisani hapo kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Shule ya Watoto (Sunday School).
Mwaikenda (aliyevaa kaunda suti ya bluu) akiwa na mapacha hao pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.
Catherine.
Caren.
Loveness.
Catherine (Kulwa) akiwa na mdogo wake Lusajo akiiongoza familia kutoka nje ya kanisa.Mchungaji Frank Kimambo akiendesha sala wakati wa kulibariki eneo patakapojengwa jengo la watoto kanisani hapo.
VETI VYAO






Comments