USIKUBALI KUWA CHAGUO LA PILI.
Nisikilize mwanangu, usikubali kuwa chaguo la pili kwa Mwanamke.
Nakupa Misingi ya Mwanaume kwa Mwanamke 🫂
Brother, huyo Mwanamke unayepambana usiku na mchana awe wako lakini anachomoa, ipo siku atarudi.
Huyo Mwanamke atarudi kwako ikiwa umri umeenda, kifua kikiwa kimelala, ashachokwa na wanaume, atakuja kukuuzia gazeti dakika za jioniiiiii kabisa, usikubali.
Wanawake wakiwa katika kilele cha Urembo wao wanasimamia sana vigezo vyao, atasema hataki Mwanaume maskini, na ataruka na Tajiri.
Atasimama na Misimamo yake, atakwambia hataki mwanaume mweupe na mwenye kitambi, na kweli atawaepuka kama ukoma.
Bahati mbaya, kwa mwanaume mzinifu, walafi, suala la kuchagua Wanawake halina vigezo, hapo ndipo tunapofeli wanangu, ndipo Wanawake wanapotushinda, hivi tujiulize, ni nani atakataa akitongozwa na Mwanamke?
Mwanamke kadri siku zinavyokwenda ndivyo Thamani yake inavyoshuka, Mwanaume ni kama Wine 🍷 kwani kadri muda unavyokwenda ndipo anazidi kuuzika.
Adui wa kwanza wa Mwanamke ni Umri, wapo tele waliotamba lakini namba zikawasaliti.
Mwanamke wa miaka 25 kwa uzoefu anamzidi Mwanaume wa miaka 40 kwenye ngono, ama kweli, lakini huyo Mwanamke akifikisha miaka 27 anakuwa sio tena yule aliyekukataa, anakuwa mpole, anatafuta boya wa kufa naye, ukikaa kizembe basi anaweza kustaafu na wewe, kila siku atakuulizia kuhusu ndoa, presha inakuwa kubwa kwao.
Usikubali kuwa chaguo la pili, baadhi ya Wanawake umri ukienda wanaanza kuwatafuta Wababa, huku wakiwasema vijana kuwa hawana mapenzi ya kweli, wanasahau kipindi wakiwa kwenye ubora wa Urembo wao basi waliwakataa washkaji kisa hawana fedha.
Binti anayekusumbua leo muache aende, muda utamfunza, akirudi usikubali kumpokea.
Kuna muda unafika kwenye maisha Wanawake wanakuwa hawana muda tena wa kupoteza zaidi ya kutafuta Mwanaume lofa wa kustaafu nae, usikubali kuwa huyo Lofa, hata kwa bahati mbaya.
Tumeelewana wanangu?
https://www.facebook.com/OfficialMindsetMCHealthForChangeClub/

Comments