Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita.
Walioachwa ni :-
1. Aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko.
2. Hussein Bashe, Alikuwa Waziri wa Kilimo
3. Innocent Bashungwa, Alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani
4. Jenista Mhagama, Alikuwa Waziri wa Afya
5. Dk Seleman Jafo, Alikuwa Waziri wa Viwanda na Biashara
6. Dk Pindi Chana, Alikuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
7. Dkt Damas Ndumbaro, Alikuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
Nani hapa amekuuma zaidi kwa walioachwa.
#LemutuzUpdates

Comments