UKWELI KUHUSU TENDO LA NDOA NA FAIDA ZAKE

1. TENDO LA NDOA NI JAMBO LA ASILI
Tendo la ndoa ni kazi ya kibayolojia iliyoundwa kwa ajili ya uzazi, urafiki, uhusiano na furaha. Ni sehemu ya asili ya maisha ya mwanadamu yeyote.

2 TENDO LA NDOA NI TAMU LINAPOFANYIKA KWA RAHA NA KAMA CHOMBO CHA STAREHE
Raha ya tendo la ndoa iko katika uhusiano wa kihisia, msisimko wa kimwili, na utulivu. Wapenzi wote wawili wanapostarehe na kushikamana, tendo linakuwa la kufurahisha sana na lenye utamu.

3 SAIKOLOJIA YA TENDO LA NDOA
Hali ya akili ya mtu inaweza kufanya au kuvunja uzoefu waKE wakati wa tendo. Wasiwasi, kujihisi, au kukalili kitu au jambo unaweza kuhamisha mawzo na fikra zake wakati wa tendo.

4 USHIRIKIANO WA KIMAPENZI NI NI MHIMU KIHALISIA
Watu wawili wanaweza kupendana lakini bado hawatalingana kimapenzi. Mawasiliano na wakati mwingine ni vizuri kufanya majaribio hii husaidia kutatua tatizo kama hili.

5. ROMANCE/KUANDAANA NI KITU MHIMU SANA NA NDIYO KINACHOLETA RAHA SANA
Kubusu, kugusa, na kutaniana kabla ya tendo lenyewe husaidia kuongeza msisimko na kulainisha njia ya mwanamke iwe rahisi kupenya, na kufurahisha zaidi.

6. KUBADILI MITINDO YA AINA MBALIMBALI NI JAMBO LA MHIMU KWA WANANDOA
Wengine wanafurahia tendo polepole, wengine wanapendelea mwendo kasi zaidi. Jambo kuu na la mhimu ni kuhakikisha mwanaume unamfikisha mkeo kileleni hata mara 3 ndiyo ije zamu yako au wakati mwingine ni vizuri mkafika kwa pamoja.

7. NAFASI MBALIMBALI ZA KIMAPENZI HUONYESHA UZOEFU WA MTU
Kuna mitindo mingi sana kama vile mtindo wa mbwa/dog style, cowgirl, kijiko, na wakati mwingine juaneni kwanza ili ujue mwenza wako anapendelea nini wakati wa tendo. Wanandoa mara nyingi huchunguzana ili kila mtu kupata kile kinachompa raha na kuridhika.

8. KUKOJOA AU KUFIKA KILELENI HUTOFAUTIANA SEHEMU KUBWA KATI YA WANAUME NA WANAWAKE
Wanaume kwa kawaida huwa na kilele cha aina moja ambacho ni mshindo, lakini wanawake wao wanaweza kufika kileleni mara kadhaa ikiwa wewe mwanaume ni mtundu au unajua kuchochea ipaswavyo.

9. UJUZI WA TENDO LA NDOA NI MUHIMU KWA MWANAUME KULIKO UKUBWA WA MASHINE YAKE
Ukubwa wa uume haukupi nafasi kuonyesha kuwa unaweza kumpa raha mwanamke kama sio mjuzi basi unaweza kujikuta unaishia kuwanaumiza wanawake bila kuwapa utamu ili kuhakikisha mwanamke anaridhika hakikisha una. Mbinu, usikivu, na muungano wa kihisia hii ni muhimu zaidi.

10. UKUBWA WA UUME NI SAWA NA UTENDAJI KATIKA NDOA YAKO
Ingawa unaweza kuwa na saizi ndogo sana au kubwa ya uume wako unaweza kuhitaji marekebisho haya, wanaume wenye uume mkubwa au wastani wanaweza kuwatosheleza wake zao kikamilifu kwa mbinu mbali mbali na uelewa sahihi kwa wanachokifanya.

11. UKUBWA WA UUME WAKO WAKATI MWINGINE UNAWEZA KUWA CHANGAMOTO KWENYE TENDO
Uume mkubwa sana unaweza kusababisha usumbufu, maumivu, au hata jeraha ikiwa hautashughulikiwa kwa uangalifu au kutokuwa na mawasiliano mazuri kifkra na kihisia na mwenzi wako.

12. KINA KIREFU CHA UKE WAKO 
Wastani wa kina cha uke ni inchi 3 hadi 7 na Unaweza kupanuka zaidi wakati wa msisimko. Kupenya kwa kina hicho haitakupa raha wakati wote kuna wakati utasikia maumivu ukiwa na mwanaume asiyejua alitendalo.

13. UKE MDOGO AU WA KAWAIDA
Uke ni waajabu sana hujirekebisha kulingana na saizi ya uume wa mwanaume wako, mwanaume tumia vidole, au vitu vingine visivyokuwa na ncha na kemikali. Msisimko ukiwa sahihi uke huhakikisha unatengeneza umbo la kitu kinachoingia wakati huo.

14. KINA CHA UKE HAKIKUAMULII JINSI YA KURIDHIKA KIMAPENZI.
Kutosheka kwenye tendo kunategemea zaidi msisimko unaotokea kwenye kisimi, uhusika wa kihisia, na jinsi damu inavyokimbia badala ya kutegemea kina pekee.

15. KISIMI NDIYO CHANZO CHA RAHA CHENYE NGUVU KWA MWANAMKE
Wanawake wengi hufikia kilele kupitia msisimko wa kisimi hata kabla uume haujapenya ukeni.

16 UJUZI WA KUTUMIA VIDOLE NI NJIA NZURI ITAKAOKUFANYA USIKIE RAHA WAKATI WA TENDO LA NDOA
Kutumia vidole seheumu hizi za mwanamke ndiyo njia inayoweza kukufanya ufike kileleni haraka zaidi uke, kisimi, au mkundu hizi ni sehemu za kawaida sana kwa matumizi ya vidole wakati wa tendo.

17. DENDA AU KUNYONYANA LIPS NA NDIMI KITU MAARUFU KWA KILA MTU DUNIANI
Wakati mwingine tendo huanzia kwa njia ya mdomo hii inahusisha kutumia kinywa ili kuchochea sehemu za siri za mpenzi wako ziwake moto. Inaongeza ukaribu na inafurahisha wengi inapofanywa kwa heshima na usafi.

18. KUSHIRIKIANA KWA KUCHEZEA SHEMU ZA SIRI ZA MWENZI WAKO KWA MDOMO WAKO 
Hii ni nafasi ambapo wenzi wote wawili hufanya ngono kwa mdomo kupitia sehemu za siri kwa kila mmoja kwa wakati mmoja, na kuongeza furaha ya pande zote mbili.

19. MAWASILIANO NI MUHIMU KATIKA TENDO
Kuzungumza kuhusu unachopendelea, mambo usiyoyapenda, na ndoto hujenga uelewano na furaha bora.

20. RIDHAA YA KIMAPENZI HAINA MAZUNGUMZO
Shughuli zote za tendo lazima ziwe ni msingi wa ridhaa ya pande zote.

Somo inaendelea kwa leo tujifunze pamoja kesho pia nita wapea miendelezo

Usisahauku follow pages zetu ili tuzidi kujifunza pamoja👇

Grenweech Univesal 
Alicia Grenweech


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

WALIOCHUKUA FOMU CCM ZA KUWANIA USPIKA HAWA HAPA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HUYU NDIYE WANU HAFIDH, CHAMPIONI WA ELIMU

MAWAZIRI WALIOACHWA HAWA HAPA

HISTORIA YA MAREHEMU MC PILIPILI

MJUE VIZURI KOCHA MPYA WA YANGA PEDRO