DAAH ! ANASEMA HATA WANGECHEZA DAKIKA 120 WASINGEPATA GOLI


Habibi Hanif Mchambuzi mahiri WA soka Algeria amesema timu ya Js Kabylie hata wangepewa dakika 120 bado wasingeweza kuifunga Yanga


Mtindo wa uchezaji waliotumia haswa wanaposhambulia na kuvunjavunja safu ya wapinzani ulikuwa dhaifu.


Habib Hanif amesema hakupenda kabisa Kocha Josef Zinnbauer alivyojaribu kuushikilia mchezo .Alifeli alivyoanza mchezo na akaja kuharibu kwenye mabadiliko ya wachezaji aliyofanya.


Habib anasema anahofia sasa Js Kabylie itakapokwenda Tanzania kwa sababu Yanga ni hatari kwenye kushambilia.


Habib Hanif - anashangaa inawezekana vip Js Kbaylie wakiwa nyumbani wapate nafasi za hatari 3 tu ambazo yeye anaona angalau!


Jaribio la kichwa la Belaid na Aymen Mahiosu pamoja na shuti la Bbacar Sar.


Anasisitiza kama umeshindwa kuutawala mchezo kwa sababu Yanga walikuwa bora katikati basi .Subiri wapinzani waje eneo lako kisha upokonye mpira uende kwao kwa haraka au uwe bora zaidi kwenye mipira iliyokufa.


NB:Awalia Mchambuzi huyu aliibeza Yanga kuwafunga As Far Aman Complex


Mfuatulie YouTube yake


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

WALIOCHUKUA FOMU CCM ZA KUWANIA USPIKA HAWA HAPA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

๐Œ๐‰๐”๐„ ๐Š๐€๐‚๐‡๐„๐‘๐Ž ๐Œ๐™๐„๐๐€

UKWELI KUHUSU TENDO LA NDOA NA FAIDA ZAKE

HUYU NDIYE WANU HAFIDH, CHAMPIONI WA ELIMU

MAWAZIRI WALIOACHWA HAWA HAPA

HISTORIA YA MAREHEMU MC PILIPILI