KIPA WA TAIFA STARS MASALANGA AMEPEWA ZAWADI NA WAMOROCCO.

Golikipa wa Taifa stars Hussein_Masalanga amepewa zawadi ya picha yenye baadhi ya matukio ya mchezo na mashabiki wa Morocco ambao walipendezwa na kazi aliyoifanya katika mchezo wa 16 bora kati ya Tanzania dhidi ya Morocco.




 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MAPACHA WATATU FAMILIA YA MWAIKENDA WAPATA KIPAIMARA

MVUA KUBWA KUNYESHA MIKOA 20

AINA 4 ZA WANAWAKE WASIOWEZA KUDUMISHA NDOA.

NAMNA YA KUTENGENEZA MAISHA YAKO KIMYA KIMYA

Wasifu wa Kizza Besigye

MIKOA 10 YENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI KWA MTU MMOJA MMOJA