BADO WACHEZAJI 2 WA KIGENI JANGWANI YANGA SC 🔰 🔥

Hawa hapa ndio wachezaji wa kigeni wa Yanga SC kuelekea msimu ujao ✅

1. Djigui Diarra 🇲🇱
2. Yao Kouassi 🇨🇮
3. Chadrack Boka 🇨🇩
4. Duke Abuya 🇰🇪
5. Maxi Mpia Nzengeli 🇨🇩
6. Laurindo Depu 🇦🇴
7. Allan Okello 🇺🇬
8. Cheikh Ibrahima Touré 🇸🇳
9. Housseine Zakouani 🇰🇲
10. Albert Kangwanda 🇿🇲
11. ________?
12. ________?

Mpaka sasa hivi bado wachezaji 2 hawajatambulishwa kukamilisha idadi ya wachezaji 12 wa kigeni kwenye kikosi cha Yanga SC msimu ujao 🙌🔥


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Soma Taarifa ya UTEUZI:Rais Jakaya Kikwete amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd)

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

MAAFISA JENERALI WASTAAFU 17 WA JWTZ WAAGWA.

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

JUA AINA NNE ZA KABILA LA WASUKUMA

BINTI WA KITANZANIA GLORIA MAJULE ASHINDA TUZO YA UANDISHI BORA WA FILAMU YA MALARIA MAREKANI ‎