CHUO CHA MIPANGO CHAWAFANYA WANAKIJIJI KUISHI KWA RAHA NA AFYA NJEMA


Makamu Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP)-Taaluma, Profesa Provident Dimoso akielezea jinsi chuo hicho kilivyofanya utafiti katika Kijiji kilichokuwa na nyumba zisizofaa na kufyatua tofali za kuchoma na kujenga nyumba zinazowafanya wananchi wa kijiji hicho kuishi kwa raha na afya njema. Prof. Dimoso ameyasema hayo alipokuwa akielezea kuhusu tafiti mbalimbali wanazofanya kuwaletea maendeleo wananchi vijijini katika mahojiano yaliyofanyika Makao Makuu ya IRDP jijini Dodoma Juni 30, 2026.


 Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani katika Chuo cha Mipango Dodoma.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

VIONGOZI BORA BARANI AFRIKA KWA SASA.

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

ZIJUE SIFA ZA WANYAKYUSA WA KYELA NA RUNGWE

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

NMB, CTM TANZANIA WAZINDUA MIKOPO YA KUMALIZIA NYUMBA