Makamu Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP)-Taaluma, Profesa Provident Dimoso akielezea jinsi chuo hicho kilivyofanya utafiti kuhakikisha zao la zabibu mkoani Dodoma linawatea hali bora wakulima wa zao hilo.‘
Prof. Dimoso ameyasema hayo alipokuwa akielezea kuhusu tafiti mbalimbali wanazofanya kuwaletea maendeleo wananchi vijijini katika mahojiano yaliyofanyika Makao Makuu ya IRDP jijini Dodoma Juni 30, 2026.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203


Comments