MAANDALIZI YA UJENZI WA UWANJA WA MBEYA CITY YAMEANZA




Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Mh.Dormohamed Issa leo Julai 22 2026 ametembelea eneo linalotarajiwa kujengwa uwanja wa mpira wa timu ya Mbeya City Fc.

Eneo hilo lenye ukubwa wa zaidi ya hekari saba unatarajiwa kujengwa uwanja wa mpira wa miguu ,michezo mingine sambamba na maeno ya biashara.

Maandalizi ya hatua za awali za ujenzi wa uwanja huo yameanza kwa zoezi la usawazishaji wa eneo. Awali Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Bw.Justice Kijazi alitoa maelekezo kwa waandisi wa Jiji la Mbeya kuandaa ramani ya uwanja na kuzungushia uzio eneo hilo.


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Soma Taarifa ya UTEUZI:Rais Jakaya Kikwete amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd)

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

MAAFISA JENERALI WASTAAFU 17 WA JWTZ WAAGWA.

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

JUA AINA NNE ZA KABILA LA WASUKUMA

BINTI WA KITANZANIA GLORIA MAJULE ASHINDA TUZO YA UANDISHI BORA WA FILAMU YA MALARIA MAREKANI ‎