RAIS SAMIA AMTEUA BOSS WA TSN KUWA MKURUGENZI MKUU WA TBC. RAIS SAMIA AMTEUA BOSS WA TSN KUWA MKURUGENZI MKUU WA TBC.


Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Asha Dachi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, kabla ya uteuzi huo Dachi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN).

Anachukua nafasi ya Dkt. Ayub Rioba Chacha ambaye amemaliza muda wake wa uongozi.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu leo Julai 14, 2026.


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

MAAFISA JENERALI WASTAAFU 17 WA JWTZ WAAGWA.

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

JUA AINA NNE ZA KABILA LA WASUKUMA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

VIONGOZI BORA BARANI AFRIKA KWA SASA.