RAIS SAMIA, MAMA MARIA NYERERE WAENDA ANGOLA

"Leo asubuhi nimepata heshima ya kuambatana na Mama yetu, Mama Maria Nyerere, kuelekea nchini Angola ambako pamoja na shughuli nyingine, tutashiriki uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere."
"Hii ni heshima kubwa kwa familia ya Mwalimu Nyerere na Taifa letu kwa ujumla, ikiwa ni ishara ya kutambua na kuthamini mchango wake wa kihistoria katika harakati za ukombozi na maendeleo ya Afrika."Rais Samia.





 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA

DKT. TULIA ATAJA MAFANIKIO YAKE AKIWA RAIS WA IPU