TRILIONI 6 KUJENGA RELI YA SGR YA TABORA - KIGOMA

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), akibainisha kuwa zaidi ya shilingi trilioni 6 zimetengwa kwa ajili ya mradi huo mkoani Kigoma. Uwekezaji huo ni mkakati thabiti wa serikali wa kuufungua kiuchumi mkoa wa Kigoma na maeneo ya jirani pamoja na nchi jirani za DR. Congo na Burundi..

Kukamilika kwa reli hiyo kutaleta mapinduzi makubwa ya usafiri, ambapo safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma itakayochukua saa 8 pekee kwa SGR, tofauti na zaidi ya saa 24 kwa barabara au siku mbili kwa treni ya zamani. Mabadiliko hayo yatafungua fursa mpya za biashara, uwekezaji, na usafirishaji kwa wakazi wa mkoa huo na maeneo yote ya magharibi mwa Tanzania
'


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Soma Taarifa ya UTEUZI:Rais Jakaya Kikwete amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd)

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

MAAFISA JENERALI WASTAAFU 17 WA JWTZ WAAGWA.

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

JUA AINA NNE ZA KABILA LA WASUKUMA

BINTI WA KITANZANIA GLORIA MAJULE ASHINDA TUZO YA UANDISHI BORA WA FILAMU YA MALARIA MAREKANI ‎