TUZO YA USIMAMIZI BORA WA TEHAMA YATUA CHUO CHA MIPANGO

Mkuu wa Idara ya Tehama Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Jabir Abdi (kulia) akimkabidhi Makamu Mkuu wa Chuo hicho (Taaluma), Profesa Provident Dimoso cheti na tuzo ya usimamizi bora wa Tehama kilichotolewa na Taasisi ya TERNET.

Tukio hilo la makabidhiano limefanyika katika Makao Makuu ya Chuo hicho jijini Dodoma Juni 30, 2026. Anaye shuhudia kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa IRDP, Godrick Ngolly.









 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

VIONGOZI BORA BARANI AFRIKA KWA SASA.

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

ASKOFU GWAJIMA: VIJANA PUUZENI WANAOCHOCHEA VURUGU